Mwanzo > Untagged SIMBA SC KABLA YA MECHI NA YANGA JANA TAIFA SIMBA SC KABLA YA MECHI NA YANGA JANA TAIFA Kikosi cha Simba SC katika picha ya pamoja jana kwenye kambi yao hoteli ya Golden Tulip mchana kabla ya kwenda Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kucheza na mahasimu wao, Yanga SC mchezo ambao ulimalizika kwa sare ya bila kufungana. Sunday, October 19, 2014
0 comments:
Post a Comment