Kiungo wa Azam FC, Frank Domayo akifanya mazoezi katika gym ya klabu hiyo, iliyopo ndani ya Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Domayo ameanza mazoezi mepesi jana baada ya kuwa nje kwa miezi mitatu kufuatia kufuanyiwa upasuaji wa nyama za paja.
0 comments:
Post a Comment