• HABARI MPYA

    Friday, October 03, 2014

    KASSIM DEWJI AMSIMAMISHA MATOLA DAKIKA 39 KUJADILI...ULIKUWA MJADALA MZITO, ULIHUSU NINI?

    Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Kassim Dewji kulia akizungumza na Kocha Msaidizi wa klabu hiyo, Suleiman Matola jana kwenye mazoezi ya timu hiyo Uwanja wa Boko Veterani, Dewji alizungumza kwa dakika 39 na Matola katika kikao ambacho kilionekana kubeba mjadala mzito.
    Simba SC imetoa sare mbili katika mechi zake za awali Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, 2-2 na Coastal Union na 1-1 Polisi Morogoro
    Kesho, wekundu hao wa Msimbazi watashuka dimbani kumenyana na Stand United Uwanja Taifa, Dar es Salaam
    Matola akikuna kichwa wakati akimsikiliza Dewji

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KASSIM DEWJI AMSIMAMISHA MATOLA DAKIKA 39 KUJADILI...ULIKUWA MJADALA MZITO, ULIHUSU NINI? Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top