• HABARI MPYA

    Friday, October 03, 2014

    BUSU LA BETHIEDEI WENYE WIVU WAJINYONGE, MUWAACHE WEMA NA DIAMOND!

    Mwigizaji Wema Sepetu kulia akimpiga busu mpenzi wake, Nassib Abdul 'Diamond' usiku wa jana katika ukumbi wa JB Belmonte, jengo la Golden Jubilee, Tower, Dar es Salaam wakati sherehe ya kuzaliwa ya mpenzi wake huyo
    Meza kuu; Wema akiwa amepozi na mpenzi wake jana
    Diamond akifurahia na rafiki yake kushoto, huku mrembo Wema ametulia meza kuu
    Diamond akiwa ndani ya gari lake jipya, BMW X6
    Walikuwepo; Kutoka kulia Chiddy Benz, Bin Zubeiry na Profesa Jay nao walikuwepo kumpongeza Diamond
    Wadau mbalimbali walijumuika kumpongeza rafiki yao, Diamond
    Wadau wakifuatilia kinachoendelea kwenye pati hilo lililofana jana
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BUSU LA BETHIEDEI WENYE WIVU WAJINYONGE, MUWAACHE WEMA NA DIAMOND! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top