• HABARI MPYA

    Thursday, October 02, 2014

    ETO'O AIPA POINTI YA UGENINI EVERTON EUROPA LEAGUE

    MMOJA wa magwiji wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Samuel Eto'o ameiwezesha Everton kupata pointi ya ugenini katika Europa League kwa kupayta sare ya 1-1 Krasnodar usiku huu katika mchezo wa Kundi H.
    blushes of his captain Phil Jagielka by rescuing a 1-1 draw for Everton in Krasnodar on Thursday night.
    Eto'o, ambaye ameshinda mataji ya Ligi ya Mabingwa Ulaya na Barcelona na Inter Milan, alifunga bao hilo dakika ya 82 na kumpa faraja kocha Roberto Martinez baada ya makosa ya Nahodha wao, Phil Jagielka kuipa bao la kuongoza Krasnodar kipindi cha kwanza.

    Eto'o akinyoosha mono juu baada ya kuifungia Everton ikipata sare ya 1-1 usiku huu
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ETO'O AIPA POINTI YA UGENINI EVERTON EUROPA LEAGUE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top