KOCHA Carlos Dunga ameendelea ‘kuiumba upya’ taratibu Brazil- baada ya jana kuwafunga wapinzani wao wakubwa Amerika Kusini, Argentina mabao 2-0 katika mchezo wa kirafiki mjini Beijing, China.
Mshambuliaji wa Atletico Mineiro, Diego Tardelli aliifungia Brazil bao la kwanza dakika ya 28 kabla ya mkwaju wa penalti wa Lionel Messi kuokolewa na Jefferson dakika ya 41, kufuatia Angel di Maria kuangushwa kwenye boksi.
Tardelli aliifungia bao la pili Brazil dakika ya 64 katika mchezo ambao mkongwe, Kaka alitokea benchi dakika ya 82. Mechi hiyo iliitwa Superclasico de las Americas na Brazil walikabidhiwa taji baada ya mchezo.
Kikosi cha Brazil kilikuwa: Jefferson, Danilo, Miranda, David Luiz, Filipe Luis, Willian, Luiz Gustavo, Elias, Oscar, Diego Tardelli/Kaka dk82, Neymar/Robinho dk90.
Argentina: Romero, Zabaleta, Demichelis, Federico Fernandez, Rojo, Pereyra/Perez dk76, Mascherano, Lamela/Pastore dk61, Di Maria, Messi na Aguero/Higuain dk61.

![]() |
| Mshambuliaji wa Atletico Mineiro, Diego Tardelli |

.png)
0 comments:
Post a Comment