• HABARI MPYA

    Monday, November 18, 2013

    SIMBA B WALIVYOWANYANYASA MAAFANDE WA OLJORO LEO KARUME, KABURU HAKUAMINI MACHO YAKE

    Pati la ushindi; Wachezaji wa Simba wakishangilia bao la pili katika ushindi wa 3-0 dhidi ya JKT Oljoro kwenye mechi ya vijana chini ya umri wa miaka 20 kwa timu za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, maarufu kama Kombe la Uhai leo Uwanja wa Karume. 

    Kulia ni mfungaji wa mabao mawili ya Simba leo, Ibrahim Hajibu akikabiliana na beki wa Oljoro

    Ibrahim Hajibu akienda kufunga

    Mchezaji wa Simba SC akipambana na mchezaji wa Oljoro

    Vijana wakionyesha ujuzi

    Ilikuwa mechi ya ushindani

    Ibrahim Hajibu aliyeruka juu kupiga kichwa

    Emil Mgeta wa Simba akipasua kushoto

    Carlos Potas aliyeruka juu kupiga mpira kichwa dhidi ya mshambuliaji wa Oljoro

    Issa Abdallah wa Simba akipasua kulia 

    Abdul Suleiman wa Simba SC akipasua katikati

    Charles Nsuuza wa Oljoro na Said Ndemla wa Simba katikati ya Uwanja

    Adam Kindemba wa Simba kulia

    Emil Mgeta wa Simba akifunga tela kwa mchezaji wa Oljoro 

    Mshambuliaji wa JKT Oljoro akimiliki mpira katikati ya mabeki wa Simba

    Kikosi cha Simba SC leo

    Kikosi cha JKT Oljoro leo

    Hongereni sana wana; Kocha wa Simba, Suleiman Matola kusho akiwapa maji vijana wake baada ya kufunga bao la tatu 

    Hawa watoto wa Simba noma; Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya TFF, Geoffrey Nyange 'Kaburu' akiwa jukwaani kuangalia mechi hiyo 

    Kocha wa timu za vijana za taifa, Mdenmark, Jackob Michelsen alikuwepo kuangalia vipaji

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA B WALIVYOWANYANYASA MAAFANDE WA OLJORO LEO KARUME, KABURU HAKUAMINI MACHO YAKE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top