• HABARI MPYA

  Jumatano, Novemba 27, 2013

  BARCA YACHAPWA 2-1 NA AJAX ILIYOKUWA PUNGUFU KARIBU KIPINDI CHOTE CHA PILI

  BARCELONA  imefungwa mabao 2-1 na Ajex katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku huu mjini Amsterdam. Pamoja na ushindi huo, Ajax ilimaliza pungufu ya mchezaji mmojabaada ya Veltman kutolewa nje kwa kadi nyekundu dakika ya 48.
  Mabao ya Ajax yalifungwa na Serero dakika ya 18 na Hoesen dakika ya 41 kabla ya Xavi kuifungia Barca bao la kufutia machozi kwa penalti dakika ya 49.
  Ajax: Cillessen, Van Rhijn, Veltman, Moisander, Boilesen/Poulsen dk34, Klaassen, Blind, Serero, Schone/Denswil dk51, Hoesen/Duarte dk84 na Fischer. 
  Barcelona: Pinto, Puyol (Gabarron 68), Mascherano, Pique, Montoya, Xavi (Sergi Roberto 74), Song, Iniesta, Pedro, Fabregas (Traore), Neymar.
  Mchezaji wa Ajax, Danny Hoesen akishangilia na Davy Klaassen baada ya kuwafungia wenyeji bao la pili
  Stunner: Hoesen smashes in a left foot shot from a rebound
  Stunner: Hoesen smashes in a left foot shot from a rebound
  Ecstatic: Viktor Fischer screams in happiness at the final whistle
  Ecstatic: Viktor Fischer screams in happiness at the final whistle
  Strike: Barcelona's Neymar attempts at shot on goal with Joel Veltman in close attendance
  Strike: Barcelona's Neymar attempts at shot on goal with Joel Veltman in close attendance
  Watching closely: Cesc Fabregas controls the ball on his right boot
  Watching closely: Cesc Fabregas controls the ball on his right boot
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BARCA YACHAPWA 2-1 NA AJAX ILIYOKUWA PUNGUFU KARIBU KIPINDI CHOTE CHA PILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top