• HABARI MPYA

  Jumatatu, Novemba 25, 2013

  YANGA SC WAANZA MAZOEZI KIJITONYAMA LEO..KASEJA AJIUNGA NA WENZAKE RASMI

  Wachezaji wa Yanga SC wakifanya mazoezi kwenye Uwanja wa Bora, Kijitonyama, Dar es Salaam asubuhi ya leo kujiandaa na mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Bara. Yanga wameanza mazoezi leo baada ya mapumziko ya wiki mbili tangu kumalizika kwa mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu ya Bara.

  Kocha Mkuu wa Yanga, Mholanzi Ernie Brandts akijadiliana na Msaidizi wake, Freddy Felix Minziro kushoto na Daktari, Nassor Matuyza kulia 

  Kocha Brandts akimuelekeza jambo kipa mpya, Juma Kaseja aliyesajiliwa mwezi huu. Kaseja hakufanya mazoezi kwa sababu anasumbuliwa na maumivu ya kifundo cha mguu.

  Marafiki wamekutana tena; Juma Kaseja akizungumza na rafiki Mahmoud Mpogolo ambaye ni mtunza vifaa vya mazoezi vya timu


  Nadir Haroub 'Cannavaro'

  Simon Msuva kushoto na Hussein Javu

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: YANGA SC WAANZA MAZOEZI KIJITONYAMA LEO..KASEJA AJIUNGA NA WENZAKE RASMI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top