• HABARI MPYA

  Alhamisi, Novemba 28, 2013

  WASIO NA KAMERA...KWA MGOYI

  Kila mtu na yake; Waandishi wa Habari za soka kutoka Tanzania, kutoka kulia Zaituni Kibwana, Sofia Asheri na Somoe Ng'itu wakipiga picha wakati wa mazoezi ya timu ya Bara, Kilimanjaro Stars jana asubuhi Uwanja wa Chuo Kikuu cha Sathmore, Nairobi, Kenya. Stars ilikuwa inajiandaa na mchezo wake wa kwanza wa Kundi B Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge leo dhidi ya Znmbia Uwanja wa Machakos, 

  Wasio na kamera; Waandishi wengine wa Tanzania klia Crezesencia Tryphone na Asha Kigundula kushoto wakizungumza na Mkuu wa Msafara wa Stars, Ahmed Msafiri Mgoyi katikati 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: WASIO NA KAMERA...KWA MGOYI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top