• HABARI MPYA

  Jumatano, Novemba 27, 2013

  MECHI ZA UFUNGUZI CECAFA CHALLENGE KATIKA PICHA LEO NYAYO...ZANZIBAR NA SUDAN NA KENYA NA ETHIOPIA

  Kiungo wa Zanzibar, Suleiman Kassim 'Selembe' akipiga mpira mbele ya beki wa Sudan Kusini, Philip Delfino katika mchezo wa ufunguzi wa Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na kati, CECAFA Challenge leo Uwanja wa Nyayo, Nairobi, Kenya. Zanzibar ilishinda 2-1.

  Mshambuliaji wa Zanzibar Ally Badru alikosa bao la wazi leo 

  Kiungo wa Zanzibar, Masoud Ally Mohamed akipasua katikati ya wachezaji wa Sudan Kusini

  Badru akimtoka Delfino

  Ally Badru akimtoka Richard Justin

  Kikosi cha Ethiopia kilichotoka sare ya bila kufungana na weyeji Kenya katika mchezo wa pili

  Kipa wa Ethiopia, Derete Alemu akidaka mbele ya mshambuliaji wa Kenya, Edwin Lavatsa

  Beki wa Ethiopia, Salahadin Bargicho akimgeuza beki wa Kenya, David Ochieng 

  Francis Kahata wa Kenya akiambaa na mpira

  Moges Tedese wa Ethiopia akiondoka na mpira pembeni ya Wakenya

  Mashabiki wa Ethiopia


  Kikosi cha Kenya

  Yousuf Yassin akimgeuza James Situma wa Kenya

  Yousuf Yassin akimpiga tobo beki wa Kenya

  Shemeles Tegne akimtoka beki wa Kenya

  Wanajeshi wa Kenya wakiangalia mechi kati ya Harambee na Ethiopia

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MECHI ZA UFUNGUZI CECAFA CHALLENGE KATIKA PICHA LEO NYAYO...ZANZIBAR NA SUDAN NA KENYA NA ETHIOPIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top