• HABARI MPYA

  Jumamosi, Novemba 23, 2013

  SIMBA SC ILIVYOCHEZEA KICHAPO CHA RUVU KARUME LEO, HIZO HASIRA ZA MATOLA!

  Kiungo wa Simba SC, Said Ndemla akimtoka mchezaji wa Ruvu Shooting katika mchezo wa Kundi B, michuano ya vijana chini ya umri wa miaka 20 kwa timu za Ligi Kuu ya Bara, maarufu kama Kombe la Uhai jioni ya leo Uwanja wa Karume, Ilala, Dar es Salaam. Ruvu walishinda 2-1.  


  Kipa wa Simba SC, Abuu Hashimu akidaka mbele ya mshambuliaji wa Ruvu  Kipa wa Ruvu akiwa ameosha


  Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Simba SC, Ibrahim Masoud 'Maestro' akifuatilia mchezo kwa makini


  Mwenyekiti wa Simba SC, Alhaj Ismail Aden Rage akiwa na Makamu wa Rais wa TFF, Wallace Karia 

  Beki wa Simba kushoto akiokoa mpira uliokuwa unaelekea nyavuni  Kocha wa Simba SC, Suleiman Matola kushoto wakati wachezaji wake wakipooza koo kwa maji ya Uhai

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SIMBA SC ILIVYOCHEZEA KICHAPO CHA RUVU KARUME LEO, HIZO HASIRA ZA MATOLA! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top