• HABARI MPYA

    Tuesday, November 19, 2013

    TAIFA STARS NA ZIMBABWE KATIKA PICHA LEO TAIFA

    Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mrisho Ngassa akimtoka beki wa Zimbabwe, Obey Mureneheri katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka 0-0.

    Ngassa akimtoka Themba Ndhlove

    Mbwana Samatta akiwachambua mabeki wa Zimbabwe

    Samatta akipiga shuti baada ya kufanikiwa kuwachambua mabeki wa Zimbabwe

    Aggrey Morris aliyeruka juu kupiga kichwa langoni mwa Zimbabwe baada ya kupanda kusaidia mashambulizi wakati kona inapigwa

    Shomary Kapombe akiteleza upande wa kushoto

    Mwinyi Kazimoto akimpa pasi Mbwana Samatta, huku wamezongwa na wachezaji wa Zimbabwe

    Mbwana Samatta akimpiga chenga Mzimbabwe

    Kungo Hassan Dilunga akiwatoka viungo wa Zimbabwe

    Erasto Nyoni ameruka kupiga kichwa

    Aggrey Morris anapanda

    Thomas Ulimwengu akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Zimbabwe

    Ivo Mapunda akidaka shuti la Simba Sithole

    Beki Kevin Yondan akipanda

    Kikosi cha Stars leo

    Kikosi cha Zimbabwe leo

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TAIFA STARS NA ZIMBABWE KATIKA PICHA LEO TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top