• HABARI MPYA

    Friday, November 22, 2013

    GARETH BALE ASEMA SASA YUKO MOTO MBAYA REAL MADRID

    WINGA Gareth Bale amesema kwamba kwa sasa yuko fiti kabisa baada ya mwanzo mgumu katika kabu yake mpya, Real Madrid na sasa yuko tayari kufanya kuwafanyia mambo mazuri vigogo hao wa Hispania.
    Miezi miwili ya mwanzo ya nyota huyo wa Wales ilikuwa migumu Hispania tangu asajiliwe kutoka Tottenham ya England Septemba 1 kutokana na kuandamwa na majeruhi.
    Bale aliumia mara mbili katika mwezi wake wa kwanza, lakini ameweza kufunga mabao matatu hadi sasa na kusababisha mabao matano kwa Los Blancos, ambayo inashika nafasi ya tatu kwa ssa katika La Liga na kuongoza kundi lake katika Ligi ya Mabingwa.
    Ametulia: Gareth Bale amesema kwa sasa anajisikia yuko vizuri Real Madrid na sasa ni wakati wa kufunga mabao
    Crowd puller: Bale tests out the new Adidas Samba Pack boot collection with some resistance reps
    Bale akijaribu kiat chake kipya cha Adidas Samba Pack kufanyia mazoezi
    Nimble: Now for some agility tests - is this a workout for the boots or a fitness test for Bale?
    Bale akifanya mazoezi ya kuwa fiti zaidi
    Real celebrities: Bale (right) with his Madrid teammates (from left) Asier Illarramendi, Alvaro Arbeloa, Alvaro Morata, Marcelo Vieira and Xabi Alonso
    Mafahari wa Real: Bale (kulia) akiwa na wachezaji wenzake wa Madrid (kutoka) Asier Illarramendi, Alvaro Arbeloa, Alvaro Morata, Marcelo Vieira na Xabi Alonso
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: GARETH BALE ASEMA SASA YUKO MOTO MBAYA REAL MADRID Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top