Na Nurat Mahmoud, Cairo
TIMU ya taifa ya Ghana, imefanikiwa kukata tiketi ya kucheza Fainali za Kombe la Dunia mwakani nchini Brazil, licha ya kufungwa mabao 2-1 na Misri katika mchezo uliomalizika muda mfupi uliopita kwenye Uwanja wa jeshi mjini Cairo.
Ghana imefuzu kwa ushindi wa jumla ya mabao 7-3, baada ya kufanya kazi nzuri katika mchezo wa kwanza mjini Kumasi mwezi uliopita na sasa watakwenda Brazil kujaribu kuendeleza mafanikio ya fainali zilizopita Afrika Kusini mwaka 2010 walipofika Robo Fainali.

Misri, waliokuwa wakicheza nyumbani kwa mara ya kwanza mjini Cairo ndani ya miaka miwili, walianza vizuri na kuongoza kwa 2-0, mabao ya mshambuliaji wa Wigan Athletic, Amr Zaki na Gedo.
Lakini Kevin-Prince Boateng akaifungia Ghana bao la kufutia machozi dakika za lala salama na kufanya matokeo yawe 7-3, baada ya awali kushinda 6-1 nyumbani.
Ghana imeungana na timu nyingine tatu za Afrika kufuzu kwenye fainali hizo, Ivory Coast, Nigeria na Cameroon na mchezo kati ya wenyeji Algeria na wageni Burkina Fasso unaoendelea hivi sasa utakamilisha idadi ya timu tano zitakazoliwakilisha bara hili kwenye fainali hizo.
Katika mchezo wa kwanza, Burkina Faso ilishinda 3-2 nyumbani, maana yake Algeria hata wakishinda 1-0 leo nyumbani kwao, watafuzu pia.

On target: Kevin-Prince Boateng scored a consolation for Ghana on the night
Here we are: Ghana's head coach James Kwesi Appiah is lifted up into the air after the country's qualification
Red hot: Egypt supporters burn flares at the World Cup qualifying playoff game
Stretch: Hossam Ghaly (right) tries to reach the ball ahead of Ghana's Andre Ayew (left)
Chop: Egypt player Mohamed Naguib (bottom) vies for the ball with Ghanas Kwadwo Asamoah
Tussle: Ghana's Edwin Gyimah (left) fights for the ball with Mohamed Mohamed Nagy
Acrobatics: Mohamed Aboutrika shoots athletically past Ghana's Daniel Opare
Dazzled: A green laser from an Egypt fan shines in the eyes of Ghana goal keeper Abdul Fatawu Dauda
Misri, waliokuwa wakicheza nyumbani kwa mara ya kwanza mjini Cairo ndani ya miaka miwili, walianza vizuri na kuongoza kwa 2-0, mabao ya mshambuliaji wa Wigan Athletic, Amr Zaki na Gedo.
Lakini Kevin-Prince Boateng akaifungia Ghana bao la kufutia machozi dakika za lala salama na kufanya matokeo yawe 7-3, baada ya awali kushinda 6-1 nyumbani.
Ghana imeungana na timu nyingine tatu za Afrika kufuzu kwenye fainali hizo, Ivory Coast, Nigeria na Cameroon na mchezo kati ya wenyeji Algeria na wageni Burkina Fasso unaoendelea hivi sasa utakamilisha idadi ya timu tano zitakazoliwakilisha bara hili kwenye fainali hizo.
Katika mchezo wa kwanza, Burkina Faso ilishinda 3-2 nyumbani, maana yake Algeria hata wakishinda 1-0 leo nyumbani kwao, watafuzu pia.

.png)
0 comments:
Post a Comment