• HABARI MPYA

  Ijumaa, Novemba 22, 2013

  ARSENAL YATHIBITISHA KUWA KATIKA MAZUNGUMZO NA MERTERSACKER AONGEZE MKATABA

  KOCHA wa Arsenal, Arsene Wenger amethibitisha timu yake ipo kwenye mazungumzo na bi wake wa kati Per Mertersacker ili kuongeza Mkataba.
  Beki huyo mrefu mwenye umri wa miaka 29, ambaye aliifungia bao pekee Ujerumani katika mchezo wa kirafiki na England Jumanne akiwa Nahodha, amekuwa akiibeba The Gunners msimu huu. 
  "Tupo katika harakati za kumuongezea Mkataba Per Mertesacker,"alisema Wenger katika Mkutano na Waandishi wa Habari.

  Mkataba mpya: Arsenal ipo kwenye mazungumzo na Nahodha wa Ujerumani, Per Mertesacker ili aongeze Mkataba
  In the process: Arsene Wenger confirmed the news at his press conference
  Arsene Wenger amethibitisha leo asubuhi katika Mkutano na Waandishi wa Habari
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ARSENAL YATHIBITISHA KUWA KATIKA MAZUNGUMZO NA MERTERSACKER AONGEZE MKATABA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top