• HABARI MPYA

  Jumapili, Novemba 24, 2013

  KWA UWEKEZAJI HUU KATIKA SOKA YA VIJANA, LAZIMA SOKA YA TANZANIA IPIGE HATUA KUBWA...TUTAWAPIKU HADI NIGERIA

  Huyu ni mchezaji wa timu ya vijana ya JKT Ruvu chini ya umri wa miaka 20, ambaye leo aliichezea timu hiyo dhidi ya Yanga katika michuano ya timu za vijana za klabu za Ligi Kuu maarufu kama Kombe la Uhai, Uwanja wa Karume, Ilala, Dar es Salaam ikishinda 2-1. Hapa alikuwa anapatiwa matibabu baada ya kuumia. Je, sura hii ni ya mchezaji mwenye umri usiozidi miaka 20? Mashindano haya ni maalum kuandaa wachezaji wa baadaye wa taifa letu, ikiwa hiyo ndiyo dhamira, je tutafanikiwa? Tafakari, soka yetu inaelekea wapi kwa mtaji huu?
     • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KWA UWEKEZAJI HUU KATIKA SOKA YA VIJANA, LAZIMA SOKA YA TANZANIA IPIGE HATUA KUBWA...TUTAWAPIKU HADI NIGERIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top