• HABARI MPYA

  Jumapili, Novemba 24, 2013

  YANGA SC ILIVYOCHAPWA NA JKT RUVU KARUME LEO, SALVA NA HAFIDH UTAWAONEA HURUMA!

  Mshambuliaji wa Yanga SC, Abdallah Mguhi 'Messi' akimtoka beki wa JKT Ruvu katika mechi ya mashindano ya vijana chini ya umri wa miaka 20 kwa timu za Ligi Kuu ya Bara jioni ya leo Uwanja wa Karume, Dar es Salaam, JKR Ruvu walishinda 2-1.   Anwar Kilemile wa JKT Ruvu akipiga kichwa kufunga bao la ushindi

  Kocha wa Yanga SC, Salvatory Edward leo

  Meneja wa Yanga Hafidh Saleh

  Wazee wa zengwe; Mashabiki wa Yanga

  Wastaraabu wa Jangwani; Mashabiki wa Yanga wakiangalia mechi

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: YANGA SC ILIVYOCHAPWA NA JKT RUVU KARUME LEO, SALVA NA HAFIDH UTAWAONEA HURUMA! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top