• HABARI MPYA

    Thursday, November 28, 2013

    BAYERN YAVUNJA REKODI YA BARCELONA LIGI YA MABINGWA

    MABINGWA watetezi, Bayern Munich wameendeleza ubabe katika Ligi ya Mabingwa baada ya kuicharaza mabao 3-1 CSKA Moscow Uwanja wa Khimki Arena katika mchezo wa Kundi D.
    Mabao ya Bayern usiku huu yamefungwa na Arjen Robben, Mario Gotze na Thomas Muller kwa penalti.
    Huo unakuwa ushindi wa 10 mfululizo kwa Bayern na hivyo kuvunja rekodi ya mwaka 2002 ya Barcelona katika michuano hiyo.
    Mbelee: Arjen Robben akishangilia na wachezaji wenzake wa Bayern baada ya kufunga bao la kwanza
    First class: Mario Gotze scored a wonderful solo goal to double Bayern's lead
    First class: Mario Gotze scored a wonderful solo goal to double Bayern's lead
    Hardy Russians: CSKA Moscow fans appear not to have any trouble with the cold weather
    Hardy Russians: CSKA Moscow fans appear not to have any trouble with the cold weather

    MATOKEO MECHI ZOTE LIGI YA MABINGWA

    Kundi A
    Shakhtar Donetsk 4-0 Real Sociedad
    Kundi B
    Juventus 3-1 FC Copenhagen
    Kundi C
    Anderlecht 2-3 Benfica
    Kundi D
    CSKA Moscow 1-3 Bayern Munich
    Penalty expert: Two of Arturo Vidal's goals came from the penalty spot
    Penalty expert: Two of Arturo Vidal's goals came from the penalty spot
    Hat-trick hero: He even celebrated just like Gareth Bale with the handheld heart
    Hat-trick hero: He even celebrated just like Gareth Bale with the handheld heart
    Winning by four: Shakhtar's Alex Teixeira scores the second against Real Sociedad
    Winning by four: Shakhtar's Alex Teixeira scores the second against Real Sociedad
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BAYERN YAVUNJA REKODI YA BARCELONA LIGI YA MABINGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top