• HABARI MPYA

  Jumatatu, Novemba 25, 2013

  STARS UWANJA WA NDEGE TAYARI KWA SAFARI YA NAIROBI KUPITIA KIGALI

  Wahezaji wa timu ya soka ya taifa ya Bara, Kilimanjaro Stars wakiwa kwenye foleni ya kuingia ndani ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam jioni hii tayari kwa safari ya Nairobi, Kenya kupitia Kigaali, Rwanda ambako wanakwenda kushiriki michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge inayotarajiwa kuanza kesho kutwa nchini humo.   

  Wanamuziki? Salum Abubakar 'Sure Boy' kushoto na Mrisho Ngassa 'Uncle'

  Toa kila kitu; Haroun Chanongo akikaguliwa

  Wachezaji wakiingia JNIA

  Kaka Mkuu; Athumani Iddi 'Chui' akishuka kwenye basi baada ya kufika JNIA 

  Hassan Dilunga

  Haroun Chanongo

  Mrisho Ngassa

  Ivo Mapunda

  Frank Domayo

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: STARS UWANJA WA NDEGE TAYARI KWA SAFARI YA NAIROBI KUPITIA KIGALI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top