Mchezaji wa timu ya mashabiki wa Simba kwa wanawake, Mwile Simon akikimbia na mpira wakati beki wa
mashabiki wa Yanga, Anastella Elias akijiandaa kuzuia hatari isitokee golini
kwake kwenye bonanza la mashabiki wa timu hizo lililofanyika mwishoni mwa wiki katika
uwanja wa Namfua wa mkoani Singida, kushoto ni, Salage Mbulanzu. Simba ilishinda 1-0. Picha na Rafael Lubava.
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 days ago
.jpg)


.png)
0 comments:
Post a Comment