• HABARI MPYA

  Wednesday, November 27, 2013

  ARSENAL YAUA 2-0 MABAO YOTE WILSHERE, CHELSEA YAKALISHWA..BALOTELLI AING'ARISHA AC MILAN

  MABAO mawili ya kiungo Jack Wilshere leo yameipa ushindi wa 2-0 Arsenal dhidi ya Marseille ya Ufaransa katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku huu Uwanja wa Emirates. 
  Ilimchukua sekunde 29 tangu kuanza kwa mchezo huo kiungo huyowa England kufunga bao la kwanza akimtungua kipa hodari, Steve Mandanda na akfunga tena bao la pili dakika ya 65.
  Kikosi cha Arsenal: Szczesny, Sagna, Monreal, Flamini, Mertesacker, Koscielny, Wilshere/Walcott dk75, Ramsey, Giroud, Ozil/Arteta dk82 na Rosicky/Cazorla dk75.
  Marseille: Mandanda, Abdallah, Morel, Romao, N'Koulou, Lucas Mendes, J.Ayew/Valbuena dk57, Lemina/Cheyrou dk82, Gignac, Imbula/Thauvin dk57 na Khalifa.
  Mwanzo mzuri: Jack Wilshere alifunga bao la kwanza sekunde ya 29
  Pick that one out: Wilshere's left-footed curler eluded Marseille keeper Steve Mandanda
  Wilshere akimtungua kipa wa Marseille, Steve Mandanda
  Super fan: Thierry Henry was in the stands and celebrated after Wilshere found the back of the net
  Shabiki mkubwa: Thierry Henry alikuwa jukwani na hapa anashangilia baada ya Wilshere kufunga
  Game over: Wilshere converted his second goal of the night to ensure Arsenal grabbed all three points
  Mchezo umekwisha: Wilshere akifunga bao lake la pili usiku huu
  Cracker jack: Wilshere celebrates his brace at the corner flag in front of the home faithful
  Wilshere akishangilia baada ya kufunga bao la pili

  Katika mchezo mwingine, Chelsea imefungwa bao 1-0 na FC Basle, bao pekee la Mohamed Salah. Mabao ya Kaka dakika ya 12, Zapata dakika ya 49 na Balotelli dakika ya 59 yameipa AC Milan ushindi wa 3-0 dhidi ya Celtic nchini Scotland katika mchezo mwingine wa michuano hiyo.
  Salah
  Mohamed Salah ameifungia bao pekee Basle ikiilaza Cheslea
  Heads down: But Branislav Ivanovic, John Terry and John Obi Mikel (left-right) are still through
  Vichwa chini: Branislav Ivanovic, John Terry na John Obi Mikel wakisikitika baada ya kipigo
  ns. 
  On target: AC Milan striker Mario Balotelli celebrates after scoring his side's third goal of the game
  Amefunga: Mario Balotelli akishangilia baada ya kuifungia AC Milan
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL YAUA 2-0 MABAO YOTE WILSHERE, CHELSEA YAKALISHWA..BALOTELLI AING'ARISHA AC MILAN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top