• HABARI MPYA

    Tuesday, November 19, 2013

    KABURU ANAPOMPA MIKAKATI KINESI...

    Kaimu Makamu Mwenyekiti wa Simba SC, Joseph Itang'are 'Kinesi' kushoto akizungumza na aliyemuachia nafasi hiyo baada ya kujiuzulu, Geoffrey Nyange 'Kaburu' kulia, ambaye kwa sasa ni Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), walipokutana Uwanja wa Karume leo wakati wa mchezo wa timu za vijana za Ligi Kuu ya Bara chini ya umri wa miaka 20, maarufu kama Kombe la Uhai baina ya Simba na JKT Oljoro ambayo ilifungwa 3-0.
    Wa zamani na wa sasa; Kaburu na Kinesi


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KABURU ANAPOMPA MIKAKATI KINESI... Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top