Mshambulaji Mtanzania anayechezea Aston Villa ya England, Mbwana Samatta (katikati) akiwa na wachezaji wa klabu yake ya zamani, Simba SC, viungo Mkongo Deogratius Kanda (kushoto) na Mzambia Clatous Chama (kulia) leo Jijini Dar es Salaam. Samatta na Kanda wamewahi kucheza pamoja klabu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kwa mafanikio makubwa
England in Sri Lanka: Angelo Mathews hits century on first day of second Test
-
Angelo Mathews grinds out a century for Sri Lanka as England's bowlers toil
on a hard-fought first day of the second Test in Galle.
23 minutes ago
0 comments:
Post a Comment