Mtanzania wa kwanza kucheza soka ya kulipwa Ulaya, kiungo mshambuliaji, Sunday Manara akimtoka beki wa timu pinzani wakati akiichezea SC Heracles ya Uholanzi. Manara mwenye umri wa miaka 67 sasa, aliichezea klabu hiyo kuanzia Desemba 1977 hadi Julai 1978 alipohamia SV St. Veit ya Austria, New York Eagles ya Marekani Al-Nasr ya Dubai baada ya awali kuchezea Yanga na Pan Africans za Dar es Salaam.
James Harden Says Luka Doncic Is a 'Special One' After Nets' Loss to Mavericks
-
James Harden sees some similarities between himself and Luka Doncic,
acknowledging that the Dallas Mavericks have a "special" player in the
All-Star guard ...
24 minutes ago
0 comments:
Post a Comment