Clement Lenglet (katikati) akishangilia baada ya kuifungia Barcelona bao la ushindi dakika ya 72 ikiilaza 3-2 Real Betis kwenye mchezo wa La Liga Uwanja wa Estadio Benito Villamarín. Mabao mengne ya Barcelona yalifungwa na Frenkie de Jong dakika ya tisa na Sergio Busquets dakika ya 45 na ushei na wakati ya Real Betis yalifungwa na Sergio Canales kwa penalti dakika yasita na Nabil Fekir dakika ya 26 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
McGregor vs Poirier 2: Dustin Poirier shocks Conor McGregor in UFC rematch
-
Conor McGregor is left stunned on his return to the UFC as Dustin Poirier
claims victory in their rematch at UFC 257.
18 minutes ago
0 comments:
Post a Comment