• HABARI MPYA

    Monday, October 07, 2019

    MESSI AFUNGA LA NNE BARCELONA YAICHAPA SEVILLA 4-0 LA LIGA

    Lionel Messi akishangilia kishujaa baada ya kuifungia Barcelona bao la nne dakika ya 78, kufuatia Luis Suarez kufunga la kwanza dakika ya 27, Arturo Vidal la pili dakika ya 32 na Ousmane Dembele la tatu dakika ya 35 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Sevilla kwenye mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MESSI AFUNGA LA NNE BARCELONA YAICHAPA SEVILLA 4-0 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top