Lionel Messi akishangilia kishujaa baada ya kuifungia Barcelona bao la nne dakika ya 78, kufuatia Luis Suarez kufunga la kwanza dakika ya 27, Arturo Vidal la pili dakika ya 32 na Ousmane Dembele la tatu dakika ya 35 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Sevilla kwenye mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment