Karim Benzema akishangilia na Eden Hazard baada ya wote kufunga katika ushindi wa 4-2 dhidi ya Granada kwenye mchezo wa La Liga leo Uwanja wa Bernabeu. Benzema alifunga bao la kwanza dakika ya pili, Hazard la pili dakika ya 45 na ushei, wakati mabao mengine ya Real Madrid yalifungwa na Luka Modric dakika ya 61 na James Rodriguez dakika ya 90 na ushei, wakati ya Granada yamefungwa na Darwin Machis kwa penalti dakika ya 69 na Domingos Duarte dakika ya 77 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Busingye urges youth to be ambassadors of change
-
The Minister for Justice, Johnston Busingye, has called on the youth to
stand up for human rights and leverage their power to change the world for
the be...
10 minutes ago
0 comments:
Post a Comment