• HABARI MPYA

  Sunday, April 15, 2018

  MAN CITY YAZINDUKA, YAIFUMUA SPURS 3-1 WEMBLEY

  Mshambuliaji mwenye umri wa miaka 21, Mbrazil Gabriel Jesus akishangilia baada ya kuifungia Manchester City bao la kwanza dakika ya 22 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Tottenham Hotspur leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Wembley mjini London, leo. Mabao mengine ya Man City yamefungwa na Ilkay Gundogan dakika ya 25 kwa penalti na Raheem Sterling dakika ya 72, huku la Spurs likifungwa na Cristian Eriksen dakika ya 42 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN CITY YAZINDUKA, YAIFUMUA SPURS 3-1 WEMBLEY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top