• HABARI MPYA

  Wednesday, January 03, 2018

  WAZIRI DK MWAKYEMBE AUNDA KAMATI MAALUM KUOKOA NGUMI ZA KULIPWA

  Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe akiwa na viongozi wa Kamati ya Ngumi za Kulipwa ya watu 10 aliyeounda leo akiipa jukumu la kuhakikisha mchezo huo unasimama tena vizuri hapa nchini. Wajumbe hao ni Emmanuel Saleh, Habibu Kinyogoli, Shomari Kimbau, Jaffari Ndame, Joe Anea, Fike Wilson, Anthony Ruta, Juma Ndambile, Ally Bakari 'Champion', Rashid Matumla, Dk Killaga Killa, Yahya Pori na Karama Nyilawila.
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WAZIRI DK MWAKYEMBE AUNDA KAMATI MAALUM KUOKOA NGUMI ZA KULIPWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top