Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe akiwa na viongozi wa Kamati ya Ngumi za Kulipwa ya watu 10 aliyeounda leo akiipa jukumu la kuhakikisha mchezo huo unasimama tena vizuri hapa nchini. Wajumbe hao ni Emmanuel Saleh, Habibu Kinyogoli, Shomari Kimbau, Jaffari Ndame, Joe Anea, Fike Wilson, Anthony Ruta, Juma Ndambile, Ally Bakari 'Champion', Rashid Matumla, Dk Killaga Killa, Yahya Pori na Karama Nyilawila.
AFL legend Brendan Fevola reveals gruesome injury in Grand Final win: 'It
was worth it'
-
Footy legend Brendan Fevola has opened up about the brutal injury that saw
him taken to the emergency room after starring in his park footy team's
grand fi...
15 minutes ago
0 comments:
Post a Comment