• HABARI MPYA

  Saturday, January 06, 2018

  VAN DIJIK AANZA NA BAO LA USHINDI LIVERPOOL IKIING'OA EVERTON FA

  Beki wa Liverpool, Mholanzi Virgil van Dijk akikimbia kushangilia baada ya kuifungia timu yake hiyo mpya bao la ushindi dakika ya 84 wakiichapa 2-1 Everton Uwanja wa Anfield na kutinga  Raundi ya Nne ya Kombe la FA. Liverpool walitangulia kwa bao la James Milner kwa penalti dakika ya 35, kabla ya Gylfi Sigurosson kusawazisha dakika ya 65 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: VAN DIJIK AANZA NA BAO LA USHINDI LIVERPOOL IKIING'OA EVERTON FA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top