Beki wa Liverpool, Mholanzi Virgil van Dijk akikimbia kushangilia baada ya kuifungia timu yake hiyo mpya bao la ushindi dakika ya 84 wakiichapa 2-1 Everton Uwanja wa Anfield na kutinga Raundi ya Nne ya Kombe la FA. Liverpool walitangulia kwa bao la James Milner kwa penalti dakika ya 35, kabla ya Gylfi Sigurosson kusawazisha dakika ya 65 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Liverpool to open formal talks with Iraola
-
Liverpool will open formal talks with Andoni Iraola this week over becoming
their new head coach.
21 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment