Romelu Lukaku akishangilia baada ya kuifungia Manchester United bao la pili dakika ya 90 ikiichapa 2-0 Derby Count katika mchezo wa Kombe la FA England usiku wa Ijumaa Uwanja wa Old Trafford na kutinga Raundi ya Nne. Bao la kwanza la United limefungwa na Jesse Lingard (kulia) dakika ya 84 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Liverpool to open formal talks with Iraola
-
Liverpool will open formal talks with Andoni Iraola this week over becoming
their new head coach.
21 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment