• HABARI MPYA

  Thursday, January 11, 2018

  REAL MADRID YATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA MFALME HISPANIA

  Mshambuliaji wa Real Madrid, Lucas Vazquez (kushoto) akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia timu ya kocha Zinedine Zidane mabao mawili dakika za 10 na 59 katika sare ya 2-2 na Numancia usiku wa jana Uwanja wa Santiago Bernabeu kwenye mchezo wa marudiano wa hatua ya 16 Bora Kombe la Mfalme, maarufu kama Copa del Rey. Mabao ya Numancia yalifungwa na Guillermo Fernandez dakika ya 45 na 82 na Real Madrid inakwenda Robo Fainali kwa ushindi wa jumla wa 5-2 baada ya kushinda 3-0 kwenye mchezo wa kwanza ugenini PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: REAL MADRID YATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA MFALME HISPANIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top