Mshambuliaji wa Real Madrid, Lucas Vazquez (kushoto) akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia timu ya kocha Zinedine Zidane mabao mawili dakika za 10 na 59 katika sare ya 2-2 na Numancia usiku wa jana Uwanja wa Santiago Bernabeu kwenye mchezo wa marudiano wa hatua ya 16 Bora Kombe la Mfalme, maarufu kama Copa del Rey. Mabao ya Numancia yalifungwa na Guillermo Fernandez dakika ya 45 na 82 na Real Madrid inakwenda Robo Fainali kwa ushindi wa jumla wa 5-2 baada ya kushinda 3-0 kwenye mchezo wa kwanza ugenini PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Gunmen kill eight in Imo community
-
Eight people, including security personnel, were killed after gunmen
attacked Abacheke community in Imo State, prompting a security response.
The post Gu...
19 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment