• HABARI MPYA

  Thursday, January 04, 2018

  HECTOR BELLERIN AINUSURU ARSENAL KUCHAPWA NA CHELSEA

  Beki wa kulia, Hector Bellerin akishangilia baada ya kuifungia Arsenal bao la kusawazisha dakika ya 90+2 ikipata sare ya 2-2 na Chelsea katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Emirates, London. Arsenal ilitangulia kwa bao la kiungo Jack Wilshere dakika ya 63, kabla ya Chelsea kutoka nyuma na kuongoza kwa 2-1 kwa mabao ya mshambuliaji Eden Hazard dakika ya 67 kwa penalti baada ya yeye mwenyewe kuangushwa na Bellerin na Marcos Alonso dakika ya 84 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HECTOR BELLERIN AINUSURU ARSENAL KUCHAPWA NA CHELSEA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top