• HABARI MPYA

  Monday, January 22, 2018

  DEPAY AWATEKETEZA PSG...AFUNGA LA USHINDI LYON YAUA 2-1

  Memphis Depay akionyesha tattoo yake ya Simba baada ya kuifungia bao la pili Olympic Lyon dakika ya 90 na ushei ikiwalaza 2-1 Paris Saint-Germain katika mchezo wa Ligue 1, Ufaransa Uwanja wa Groupama mjini Lyon. Nabil Fekir aliifungia bao la kwanza Lyon dakika ya pili, kabla ya Layvin Kurzawa kuwasazishia wageni dakika ya 45 na ushei katika mchezo ambao, mshambuliaji wa PSG, Kylian Mbappe alitolewa kwa machela dakika ya 36 baada ya kuumia kufuatia kugongana na Anthony Lopes na nafasi yake kuchukuliwa na Julian Draxler PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DEPAY AWATEKETEZA PSG...AFUNGA LA USHINDI LYON YAUA 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top