• HABARI MPYA

  Saturday, January 06, 2018

  AGUERO AFUNGA MAWILI MAN CITY YASHINDA 4-1 KOMBE LA FA

  Sergio Aguero akishangilia baada ya kufunga mabao mawili dakika za 56 na 58 katika ushindi wa 4-1 wa Manchester City dhidi ya Burnley kwenye mchezo wa Kombe la FA England leo Uwanja wa Etihad. Mabao mengine ya Man City inayoingia Raundi ya Nne ya michuano hiyo kwa ushindi huo yamefungwa na Leroy Sane dakika ya 71 na Bernardo Silva dakika ya 82, wakati la Burnley limefungwa na Ashley Barnes dakika ya 25 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AGUERO AFUNGA MAWILI MAN CITY YASHINDA 4-1 KOMBE LA FA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top