Mshambuliaji Diego Costa akiruka uzio kwenda kushangilia na mashabiki baada ya kuifungia bao la pili Atletico Madrid dakika ya 68 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Getafe kwenye mchezo wa La Liga leo Uwanja wa Wanda Metropolitano mjini Madrid. Costa alitolewa kwa kadi nyekundu kwa kwenda kushangilia na mashabiki katika mechi hiyo ya kwanza tangu arejee Atletico kutoka Chelsea. Bao la kwanza la Atletico Madrid lilifungwa na Angel Correa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
'It's better to be chased' - the mentality of a title race
-
The Premier League title race is set to go to the wire. BBC Sport has
spoken to former winners to find out how players deal with the pressure.
42 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment