• HABARI MPYA

    Saturday, December 09, 2017

    KANE AFUNGA MAWILI, SPURS YASHINDA 5-1 WEMBLEY

    Harry Kane akiruka juu kushangilia baada ya kuifungia mabao mawili Tottenham Hotspur dakika za 54 na 65 katika ushindi wa 5-1 dhidi ya Stoke City leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Wembley. Mabao mengine ya Spurs Ryan Shawcross alijifunga dakika ya 21, Son Heung-Min alifunga dakika ya 53 na Christian Eriksen alifunga dakika ya 74. Shawcross alifunga bao la kufutia machozi la Stoke City dakika ya 80 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KANE AFUNGA MAWILI, SPURS YASHINDA 5-1 WEMBLEY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top