• HABARI MPYA

  Sunday, November 12, 2017

  NEYMAR ALIVYO FITI KUWAVAA ENGLAND KESHOKUTWA WEMBLEY

  Nyota wa Paris Saint-Germain, Neymar akiwa mazoezini na timu yake ya taifa ya Brazil leo Uwanja wa Craven Cottage wa klabu ya Fulham kuelekea mchezo wa kirafiki dhidi ya England Jumanne Uwanja wa Wembley, London PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NEYMAR ALIVYO FITI KUWAVAA ENGLAND KESHOKUTWA WEMBLEY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top