• HABARI MPYA

  Friday, January 15, 2016

  WACHEZAJI 368 WALIOPITISHWA KUCHEZA CHAN 2016 RWANDA

  JUMLA ya wachezaji 368 kutoka timu 16 wamesajiliwa kucheza Michuano ya Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) nchini Rwanda mwaka 2016. 
  Tarehe ya mwisho ya kutuma majina ya wachezaji kwa ajili ya michuano hiyo inayohusisha nyota wanaocheza ligi za nchini mwao pekee ilikuwa Januari 6, 2016.  
  Gonga jina la nchi ili kufungua orodha ya wachezaji wake waliosajiliwa kucheza michuano hiyo inayoanza kesho mjini Kigali, Rwanda.

  Kundi A

  Kundi B

  Kundi C

  Kundi D
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WACHEZAJI 368 WALIOPITISHWA KUCHEZA CHAN 2016 RWANDA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top