TIMU ya Ureno imelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) usiku huu katika mchezo wa Kundi K Fainali za Kombe la Dunia Uwanja wa NRG, Houston, Texas, Marekani.
Kiungo Paris Saint-Germain ya Ufaransa, João Pedro Gonçalves Neves alianza kuifungia Ureno dakika ya sita, kabla ya winga wa Newcastle United mzaliwa wa Ufaransa, Yoane Wissa kuisawazishia DRC dakika ya 45’+5.
Mchezo mwingine wa Kundi K baina ya Uzbekistan na Colombia utafuatia Saa 11:00 Alfajiri ya kesho Uwanja wa Azteca, Mexico City nchini Mexico.



.png)
0 comments:
Post a Comment