• HABARI MPYA

  Monday, July 03, 2023

  YANGA SC KWENDA MALAWI KUCHEZA MECHI YA KIRAFIKI


  KLABU ya Yanga imepata mwaliko wa kwenda Malawi kucheza mechi ya kirafiki katika maazimisho ya miaka 59 ya Uhuru wan chi hiyo Julai 6 Jijini Blantyre.
  Tayari Yanga imewapiga simu wachezaji wake waliokuwa mapumzikoni kuripoti haraka kwa safari hiyo na kwenye sherehe hizo ambazo mgeni rasmi atakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC KWENDA MALAWI KUCHEZA MECHI YA KIRAFIKI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top