• HABARI MPYA

  Wednesday, July 05, 2023

  TWIGA STARS MECHI YA KIRAFIKI NA UGANDA KESHOKUTWA LUGOGO


  TIMU ya soka ya taifa ya wanawake ya Tanzania, Twiga Stars itakuwa na mchezo wa kirafiki dhidi ya wenyeji, Uganda Ijumaa ya keshokutwa Uwanja wa Omondi huko Lugogo Jijini Kampala.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TWIGA STARS MECHI YA KIRAFIKI NA UGANDA KESHOKUTWA LUGOGO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top