• HABARI MPYA

  Saturday, July 08, 2023

  SULEIMAN JABIR NDIYE RAIS MPYA WA SOKA ZANZÍBAR


  WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wamemchagua Suleiman Mahmoud Jabir kuwa ni Rais wa Shirikisho la Soka Zanzibar (ZFF). 
  Suleiman Mahmoud Jabir ameshinda kwa kupata kura 16 sawa na asilimia 51 ya kura zote 31 zilizopigwa na Wajumbe. 
  Kamal Abdul Satar Haji amepata nafasi ya pili kwa kupata kura 15 sawa na Asilimia 49 ya kura zote 31 zilizopigwa. 
  Juma Hassan Thabit amepata nafasi ya tatu ambapo hakupa kura hata moja sawa na asilimia 0 ya kura zote.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SULEIMAN JABIR NDIYE RAIS MPYA WA SOKA ZANZÍBAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top