• HABARI MPYA

  Sunday, July 09, 2023

  FIFA YAMTEUA MWANASHERIA WA YANGA KWA SHUGHULI MUHIMU


  SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (FIFA) limemteua Mkurugenzi wa Sheria wa Yanga, Wakili Simon Patrick kuwa miongoni mwa Wanasheria 20 watakaoshughulikia migogoro ya wachezaji duniani kote kwa kipindi cha miaka mitatu.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: FIFA YAMTEUA MWANASHERIA WA YANGA KWA SHUGHULI MUHIMU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top