• HABARI MPYA

  Thursday, March 02, 2023

  TFF YATUPILIA MBALI RUFAA YA FEI TOTO DHIDI YA YANGA

  KAMATI ya Sheria Maadili na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imetupilia mbali shauri la marejeo ya hukumu ya kiungo Feisal Salum Abdallah dhidi ya klabu yake, Yanga SC.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TFF YATUPILIA MBALI RUFAA YA FEI TOTO DHIDI YA YANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top